Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
habari za hapo kwenu tunashukuru kwa kuielimisha jamii ya mabibo juu ya haki ya MTOTO lakini mbona hamjaweka wazi kipi alikionyesha au mada ipi aliiwasilisha na mapendekezo bila kusahau changamoto alizozionyesha mpaka mkapenda kazi yake? kumbukeni kuweka taariza zenu kwa kina ndio kitu pekee kitakacho fanya tuelewe nini kilijili ahsante sana |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe