Envaya
/nvrf/post/120871
: English
Base
English
Kaka – Huku salama tumekuelewa ahsante kwa ushauri wako ndugu yangu
(Not translated)
Edit
habari za hapo kwenu tunashukuru kwa kuielimisha jamii ya mabibo juu ya haki ya MTOTO – lakini mbona hamjaweka wazi kipi alikionyesha au mada ipi aliiwasilisha na mapendekezo bila kusahau changamoto alizozionyesha mpaka mkapenda kazi yake? – kumbukeni kuweka taariza zenu kwa kina ndio kitu pekee kitakacho fanya tuelewe nini kilijili – ahsante sana
(Not translated)
Edit
(image) – Kijana huyu alikuwa chachu kwenye semina zima
(Not translated)
Edit