Hapa Tanzania, miaka ya nyuma, kabla ya mwaka 2003 huduma ya Usafirishaji ilikuwa inasimamiwa na Mamlaka ya Leseni Tanzania. Mamlaka hii, kwa kipindi chote ofisi zake zilikuwa ndani ya majengo ya serikali, kwa wakuu wa Mikoa. Hivyo, kila mkoa ulipewa himaya ilio sawa na eneo la utawala wanao miliki kiutawala wakati huo na kujulikana hivyo. Kwa hapa Mwanza, kulijulikana kisheria kama MWANZA REGION TRANSPORTATION LICENCING AUTHOURITY - MRTLA. Mamlaka ya mkoa ilikuwa na majukumua ya kutoa... | (Not translated) | Hindura |