Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/muwape/volunteer
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Asasi inahitaji mtu wa kujitolea kwa ajili ya kuiongezea nguvu Asasi.Tunahitaji mtaalamu wa mambo ya I T na Meneja wa masoko.Sifa awe ni mtaalamu wa mambo hayo kwa kiwango cha Diploma au Degree. – Mahala pakufanyia kazi ni Wete Pemba. – Muda wa kujitolea utategemea mafanikio .na mtu wa kuwasiliana naye ni Katibu/Meneja Ali Jabir Khamis
(Bila tafsiri)
Hariri