Shirika la LIFT LIFE FOUNDATION DEVELOPMENT (LLFD) lilianzishwa mwaka 2006 katika Tarafa ya Turiani wilaya Mvomero mkoa Morogoro, likiwa na lengo la kupambana na umasikini, ujinga na maradhi ili kuwapa watanzania maisha bora. Shirika lilisajiliwa rasmi katika ofisi ya makamu wa raisi mwaka 2007 July kwa usajili wa kitaifa. SHirika lina wanachama 16. – Shirika lilipata ufadhili wa kwanza mwaka 2009 toka the Foundation for Civil Society ukiwa ni wa mzunguko... | Lift LIFE FOUNDATION Organization Development (LLFD) was founded in 2006 in the Division of Turiani Mvomero district Morogoro region, with a goal of fighting poverty, ignorance and disease to give Tanzania a better life. The organization was registered officially in the office of vice president in 2007 July for a national registration. The organization has 16 members. – The organization first received funding in 2009 from the Foundation for Civil... | Edit |