Japo Asasi nyingi za kiraia kwa sasa, kiasi hazina rasijimali fedha ya kutosha, kwa kukosa vyanzo vya mapato, kutokana na kutegemea ada na michango ya wanachama wake. Kutegemea ruzuku tu kutoka kwa wafadhili, imekuwa tatizo linalosababisha Asasi nyingi kushindwa kuyafikia malengo yaliyopangwa. Ombi langu kwa Asasi za kiraia, tuwe miradi ya kiuzajishaji Assi zimudu kutekeleza malengo yke. | (Not translated) | Edit |