Katika kufanya ufuatiliaji wa mradi na tathimini ya ndani ya mradi ambao umefadhiriwa na The Foundation For Civili Sciety viongozi wa asasi yetu ya KIOO wakifuatilia matokeo ya mradi wa ufuatiliaji wa matumizi ya umma ikiwa ni pamoja namna wanajamii wanavyoshiriki katika kupanga mipango na namna wanavyofanya maamuzi juu ya hatima ya vijiji vyao. Katika kile ambacho hakikutazamiwa na wafuatiliaji hawa wa mradi ni kule kupatikana kwa maelezo juu ya namna... | In making the monitoring of the project and evaluation into the project which has fadhiriwa and The Foundation For Civili Sciety leaders of the organization of our glass were monitoring the results of project monitoring of public expenditure, including how the community participates in planning and how do decisions about fate of their villages. In what is kikutazamiwa with these monitors in the project is available for details on how the county and village... | Edit |