Base (Swahili) | English |
---|---|
Katika kufanya ufuatiliaji wa mradi na tathimini ya ndani ya mradi ambao umefadhiriwa na The Foundation For Civili Sciety viongozi wa asasi yetu ya KIOO wakifuatilia matokeo ya mradi wa ufuatiliaji wa matumizi ya umma ikiwa ni pamoja namna wanajamii wanavyoshiriki katika kupanga mipango na namna wanavyofanya maamuzi juu ya hatima ya vijiji vyao. Katika kile ambacho hakikutazamiwa na wafuatiliaji hawa wa mradi ni kule kupatikana kwa maelezo juu ya namna ambavyo mabaraza ya kata na vijiji yanayohusika na utatuzi wa migogoro kijijini ambavyo wametumia mwanya huo kujinufaisha kimapato. Wakitolea mfano wananchi waliohojiwa na wafuatiliaji wetu walipopata habari hiyo wakiwa katika kijiji cha Mwandiga waliambiwa kuwa mabaraza hayo yamekuwa yakitoza hadi elfu hamsini (50,000) kwa kila mdaawa yaani mlalamikaji na mlalamikiwa jambo ambalo linaonesha kwamba barza hilo la kata lilikuwa limepokea migogoro 40 ambayo ni sawa na shilingi 4,000,000/= zilizopatikana kutokana na migogoro hiyo lakini hakuna karatasi wala faili katika ofisi hiyo na mara zote wananungunika kukosekana kwa vitendea kazi. Alipoulizwa juu ya hilo mtendaji wa kata hiyo Ndugu Mandari alikiri kuwapo kwa tukio hilo na kusema kwamba hii imetokana na ukweli kwamba watendaji wengi wakiwamo hao wanaotoza hela hizo hawana uelewa juu ya hilo. Wakati huo huo pia wafuatiliaji wetu waligundua kuwa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma ilikuwa imeanza kutekeleza wito wake kwa vitendo kwa kusambaza taarifa mbalimbali zikiwamo zile za mapato na matumizi kama zilivyokutwa kwenye mbao za matangazo katika kata mbalimbali zinazounda Halmashauri hii. Hatua hii kwa mradi wetu imekuja muda mwafaka na inatia matumaini na wito wetu katika hili ni kuendeleza juhudi hizi kila mwaka. |
In making the monitoring of the project and evaluation into the project which has fadhiriwa and The Foundation For Civili Sciety leaders of the organization of our glass were monitoring the results of project monitoring of public expenditure, including how the community participates in planning and how do decisions about fate of their villages. In what is kikutazamiwa with these monitors in the project is available for details on how the county and village councils that deal with conflict resolution remote that have used this loophole to take advantage they provide. Wakitolea model citizens interviewed by the monitors of us had heard of it being in the village of Mwandiga were told that the councils have been yakitoza to fifty thousand (50,000) for each claimant the complainant and the respondent which shows that barza that the county had received conflict 40 which is equivalent to Shs 4,000,000 / = gained from such conflicts but no paper or file in the office and always complained a lack of resources. Asked about the county executive's brother admitted there was entertainment for the event and say that this is thanks to the fact that many executives are those who charge money does not have an understanding about it. Meanwhile our monitors also found that the Kigoma District Council had begun to implement its call for action to distribute information zikiwamo the revenue and expenditure as zilivyokutwa on noticeboards in the various county councils creating this. This measure has come to our project and the appropriate time is greatly hope and our calling is to develop these efforts each year. |
Translation History
|