CHIMBUKO LA KIKUNDI CHA WANAHARAKATI WA ELIMU, MAZINGINA NA AFYA (WEMA) – Asasi ya kiraia ya "Wanaharakati wa Elimu, Mazingira na Afya", kwa kifupi, WEMA ni asasi iliyoanza shughuli zake mwezi Januari 2008. Kikundi cha WEMA kimeanzishwa baada ya kusoma machapisho mbalimbali yanayotolewa na shirika la hiari la HakiElimu. Taarifa nyingi za HakiElimu... | ORIGINS OF THE GROUP OF EDUCATION activists, MAZINGINA AND HEALTH (EMA) – Civil society groups of "activists of Education, Environment and Health", in short, the good is the organization started its operations in January 2008. Founded after a group of good reading various publications provided by the voluntary organization of HakiElimu. HakiElimu many reports speak of sweeping... | Edit |