Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Kuwa na mahusiano mazuri kati ya wanawake na wanaume wilayani newala. wanawake kutoendelea kukandamizwa, talaka holela na ndoa za mitala kutokana na mila na desturi zilizopo na mwamko mdogo wa jamii. Sisi wanawake wa newala tumeamua kuuanzisha chombo (newora) kitakachojishughulisha kwa karibu na wadau mbalimbali wa maendeleo wilaya kutatua matatizo ya jamii yanayosababisha wanawake kukandamizwa na kunyanyasika wilayani newala. Pia kusirikiana na seriikari, wadau mbalimbali wa elimu na wahisani na mashirika yasiyo kiserikali kuhamasisha kutetea na kuhakikisha haki za wanawake zinatambuliwa na kuthaminiwa wilayani |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe