Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Ni kweli kwamba Ngao ya ni mashindno ya soka ynayondaliwa na shirika la mpira wa miguu (TFA) yanayoshindanisha timu zilizochukua nafsi ya kwanza na ya pili katikaa Ligi kuu yaa soka Tazania, kwa maadhumuni ya kusaidia watoto yatima, wajane na wegine wahitaji. Lakini tatizo ni kamba pamoja na TFA kutotilia mkazo suala la kusaidia makundi hayo husika, jamii ya watanzania nayo wakiwemo wadau hawajafuatilia kuhusu jambo hilo, kwa kuhoji na kudadisi sababu za kupuuziwa kwa azma hiyo ya awali.
Kwakua wew umeanza kuhoji na kuvunja ukimya liolizingira jambo hilo na kuweka bayana mpungufu hayo, ni dhahiri kwamba umeamsha ari miongoni mwetu, ili nasi tuweze kufuatilia jambo hilo kwa makini zaidi. Tunashukuru sana kwa mchango wako, na tunatarajia na wengine watasaidia kuwasemea wale wote wenye haki yao. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe