Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Kwanini jamii yetu imetoka kabisa nje ya maadili yetu, na siku hizi wazee wanahofia kuwakanya vijana eti kwakuwa kwa kuwa sio watoto wao, wakati katika taamaduni zetu, wazazi wamekuwa huru kuwakanya watoto wao na wa wenzao? Vile vile, mara nyingine wazazi huogopa hata kuwaelekeza watoto wao wenyewe, maana huambiwa na watoto hao bila heshima, eti wamepitwa na wakati. Tufanye nini ili kurudi tulikotoka? |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe