KIDI imejitoa kwa moyo kuboresha hali ya maisha ya jamii ya watu waishio vijijini, kwa kuinua ubora wa elimu kwa watoto na watu wazima, kuendeleza upatikanaji wa maji safi na salama, kuhifadhi chakula, mazingira, kusaidia vikundi vya maendeleo vya kuweka na kukopa na utekelezaji wa MKUKUTA kwa kutoa elimu ya utawala bora. | (Not translated) | Hindura |