Fungua
Kamamma Integrated Development Initiatives (KIDI)

Kamamma Integrated Development Initiatives (KIDI)

Majimoto, Tanzania

KIDI imejitoa kwa moyo kuboresha hali ya maisha ya jamii ya watu waishio vijijini, kwa kuinua ubora wa elimu kwa watoto na watu wazima, kuendeleza upatikanaji wa maji safi na salama, kuhifadhi chakula, mazingira, kusaidia vikundi vya maendeleo vya kuweka na kukopa na utekelezaji wa MKUKUTA kwa kutoa elimu ya utawala bora.
Mabadiliko Mapya
Kamamma Integrated Development Initiatives (KIDI) imeongeza Habari.
Participating in the best grantee award competition prepared by the Foundation for Civil Society
7 Agosti, 2015
Kamamma Integrated Development Initiatives (KIDI) imeongeza Habari 2.
The Day of the African Child celebration event prepared by KIDI on 16th June 2012 which took place at Majimoto village, Nduruma ward - Arusha District Council with the Theme: The Rights of Children with Disabilities: The Duty to Protect, Respect, Promote and... Soma zaidi
23 Aprili, 2015
Kamamma Integrated Development Initiatives (KIDI) imeongeza Habari 2.
KIDI supporting registrations to all its Community Managed Microfinance (CMMF) groups in order for them be recognized legaly on what they are doing around the area.
27 Oktoba, 2014
Kamamma Integrated Development Initiatives (KIDI) ina mada mpya kuhusu Improving CMMF groups.
Kamamma Integrated Development Initiatives (KIDI): KIDI is planning to improve its microfinance groups to engage in vegetable growing and support them in terms of markets and adding product values to compete with others. This project will continue in the same operation area of Nduruma, Bwani and Kikwe wards... Soma zaidi
25 Oktoba, 2014
Kamamma Integrated Development Initiatives (KIDI) imeongeza Habari.
Improving school feeding program and hygienic issues for children and teachers
8 Septemba, 2014
Kamamma Integrated Development Initiatives (KIDI) imeongeza Habari 2.
Support of scholastic materials, school uniforms and equipments for vocational students
22 Julai, 2014
Sekta
Sehemu
Majimoto, Arusha, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu