Shirika la Kijogoo Group For Community Development linatafuta wadau wa kusaidiana nao katika harakati za kupinga ukatili wa Kijinsia unaoendelea Wilayani Gairo kwenye Kata za Nongwe,Mandege<Chagongwe na Chanjale dhidi ya ukeketaji wa watoto wadogo wanaosoma darasa la kwanaza na pili hasa katika kipindi hiki cha likizo. – Utafiti uliofanywa na shirika letu kwa kushirikiana na Viongozi na Watendaji wa Serikali ngazi ya Vijiji na Kata wakazi waishio kwenye kata hizo bado wamekuwa... | (Bila tafsiri) | Hariri |