- Kuwaelimisha vijana na kuwapa stadi za maisha – - Kulea na kuwasaidia watoto yatima na waishio katika mazingira magumu. – - Kuwapa mbinu mbali mbali za kuwafanya waweze kujiamini katika nyanja mbali mbali ikiwemo elimu, ajira na ugunduzi wa vitu mbali mbali – - Kuwajenga vijana wawe katika maadili mema ili kuepukana na kuwa na vijana wanaojiingiza katika uhalifu – - Kuwajengea uwezo utakaowawezesha kujua misingi ya maadili mema | - Educating young people and giving them life skills – - Caring for and supporting orphans and children living in difficult circumstances. – - To provide various techniques to make them become confident in various fields including education, employment and the discovery of various items – - Build up young people to be in good moral order to avoid being drawn into youth crime – - Capacity building will kaowawezesha know the foundations of moral | Edit |