Pamoja na mikutano na wanakijiji wa Singino kule Kilwa lakini tulipata bahati ya kutembelea wajasiriamali ambao wanapata kipato chao kwa njia ya uvuvi wa Maliasili za bahari.Wako duni sana hawana vifaa vya kuvulia na ili kuwatoa huko ni kwa kuwafundisha njia hii ya ufugaji wa samaki wa maji chumvi kwa njia ya kitaalamu zaidi ndio maana tumechukua eneo kwa kushirikiana nao basi tuache mazalia ya bahari yasiharibiwe ovyo kwa vifaa duni na badala yake tutumia njia mbadala ya kufuga kwa maji... | Despite meetings with the village of Singino in Kilwa but we got lucky enough to visit entrepreneurs who earn their income through fishing of Natural Resources bahari.Wako inferior to no equipment fishing and so forth there is to teach this method of fish farming water salt in a professional manner over the area which is why we have taken with them then we should stop breeding sea yasiharibiwe disposal facilities for low and instead sent us an alternative way of raising the salt water but... | Edit |