Base (Swahili) | English |
---|---|
UTANGULIZI CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA ,ni shirika lisilo la kiserikali linalofanya kazi Tanzania nzima ambapo makao makuu ya shirika yapo kjiji cha Bazo kata ya vuga Jimbo la Bumbuli Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga-Malengo ya CHAMAKIVU ni:- Kuelimisha jamii juu ya maswala ya kilimo na ufugaji Kuelimisha jamii juu ya maswala ya haki za Binadamu
CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA(CHAMAKIVU) lilianzishwa rasm taehe 25 mwezi 6 mwaka 2006 lina wanachama 15 wa kujitolea wakiwa na lengo la kufikisha taarifa sahihi katika ngazi ya Kaya.
SHUGHULI ZA SASA ZA SHIRIKA. 1) kuelimisha jamii juu ya kusimamia akiba ya chakula na biashara 2) kuhamasisha jamii juu ya matumizi ya zana bora za kilimo 3) Kuhamasisha uanzishwaji na uendelezaji wa vikundi vya kijamii 4) Kuyasaidia makundi yaliopo katika mazingira magumu. 5) Kuelimisha jamii juu udhalishaji wa mazao na bustani 6) Kuelimisha jamii juu ya matumizi ya mbolea 7) Kuelimisha jamii juu ya kilimo cha umwagiliaji 8) Kuelimisha jamii juu ya kudhalisha mazo kwa nishati mbadala
Shirika linatekeleza shughuli zote zilizotajwa hapo juu kwa kujitolea na huku likijitahidi kuhamasisha makundi mengine kushirikiana nayo katika utekelezaji wake.
|
INTRODUCTION ASSOCIATION OF DEVELOPMENT OF ECONOMIC AND SOCIAL Vuga, is a non-governmental organization that works throughout Tanzania where the headquarters of the organization are kjiji the county of Vuga Bazo Bumbuli State Lushoto District in Tanga Region-CHAMAKIVU objectives are: - Educate the community on the issues of agriculture and animal husbandry Educate the community on the issues of human rights ASSOCIATION OF DEVELOPMENT OF ECONOMIC AND SOCIAL Vuga (CHAMAKIVU) was established rasm taehe 25 month 6 in 2006 consists of 15 volunteer members with a view to convey the right information at the household level. CURRENT ACTIVITIES OF ORGANISATION. 1) to educate the community about food security monitoring and enterprise 2) mobilize the community on the use of improved agricultural implements 3) Supporting the establishment and development of civil society 4) support groups existing in difficult circumstances. 5) Educate the community about the crops and gardens udhalishaji 6) To educate the public on the use of fertilizers 7) To educate the public on irrigation 8) To educate the public on the idea of renewable energy kudhalisha Organization linatekeleza all activities mentioned above likijitahidi mobilize volunteers and with other groups participate in its implementation.
|
Translation History
|