EMNet Yatoa mafunzo kwa Waandishi wa habari za Mazingira. – Mtandao wa wanahabari wa mazingira EMNet,hivi karibuni umetoa mafunzo kwa baadhi ya waandishi wa habari za mazingira hapa nchini. – Mafunzo hayo yaliratibiwa na Mtandao huo wa wanahabari (Environment Media Network)chini ya ufadhiri wa WWF kupitia programu yake ya CSOP.Program hii ya CSOP hivi sasa imeshamaliza muda wake.Mafunzo hayo yaliwapa fulsa waandishi wa habari za mazingira katika... | (Bila tafsiri) | Hariri |