Fungua

/AZASPO: Kiswahili: WI00065813C9550000000669:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili ((unknown language)) Kiswahili
Kutoa elimu kuhusu umuhimu wa chumvi yenye maadini joto.

Kuondoa matatizo ya maradhi ya Goiter/tenzi ambayo mara nyingi hushambulia watoto wadogo.

Tunahamashisha hususan mama waja wazito kutumia chumvi yenye maadini joto kwa sababu mara nyingi hupelekea kuzaa watoto wafu,viziwi, bubu n.k.
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe