Log in
Association of Zanzibar Salt Processing Organizations

Association of Zanzibar Salt Processing Organizations

WAWI CHAKE CHAKE, Tanzania

Kutoa elimu kuhusu umuhimu wa chumvi yenye maadini joto.

Kuondoa matatizo ya maradhi ya Goiter/tenzi ambayo mara nyingi hushambulia watoto wadogo.

Tunahamashisha hususan mama waja wazito kutumia chumvi yenye maadini joto kwa sababu mara nyingi hupelekea kuzaa watoto wafu,viziwi, bubu n.k.
Latest Updates
Association of Zanzibar Salt Processing Organizations updated its History page.
Mashamba 5 ya chumvi ya majaribio (4 Pemba, 1 Unguja) yalidhaminiwa na mradi wa uzalishaji chumvi kwa kutumia miunzi ya jua mwaka 1997. Mradi huu wa miaka miwili (1997-1999) uliofadhiliwa na UNDP kwa mtazamo wa kupunguza umasikini ulilenga kuanzisha fursa za kujiajiri kwa makundi ya vijana na wanawake. Moja kati ya majukumu makuu ya mradi ilikuwa... Read more
July 13, 2010
Association of Zanzibar Salt Processing Organizations created a History page.
Mashamba 5 ya chumvi ya majaribio (4 Pemba, 1 Unguja) yalidhaminiwa na mradi wa uzalishaji chumvi kwa kutumia miunzi ya jua mwaka 1997. Mradi huu wa miaka miwili (1997-1999) uliofadhiliwa na UNDP kwa mtazamo wa kupunguza umasikini ulilenga kuanzisha fursa za kujiajiri kwa makundi ya vijana na wanawake. Moja kati ya majukumu makuu ya mradi ilikuwa... Read more
June 2, 2010
Association of Zanzibar Salt Processing Organizations joined Envaya.
May 28, 2010
Sectors
Location
WAWI CHAKE CHAKE, Pemba South, Tanzania
See nearby organizations