KWA WADAU WA MAENDELEO. – DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION INAKARIBISHA WADAU WA MAENDELEO WALIO NA UJUZI KATIKA FANI ZA MAZINGIRA, AFYA, TAASISI ZA FEDHA, MICHEZO,UJASILIAMALI, UENDESHAJI NA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO,ELIMU UJUZI NA UJASILIAMALI KUFANYA KAZI NA ASASI KATIKA UTARATIBU WA KUJITOLEA KWA MALENGO YA KUISAIDIA JAMII. – NAFASI MPYA. – VIJANA WALIOTAYARI KATIKA KUFANYA KAZI NA JAMII YA WATANZANIA KATIKA FANI ZA... | (Bila tafsiri) | Hariri |