(image) – Tumeamua kujikita katika shughuli za kilimo hususani kilimo cha bustani na ufugaji wa kuku. Ni dhamira yetu kuhakikisha kuwa jamii inapata lishe bora na salama kwa afya, ni fahari kwetu kuona kuwa vijana wanaelimika na kuchagua mfumo wa maisha kiuchimi kupitia rasilimali zinazo wazunguka kama nyezo ya kuwainua kiuchumi, jamii inahitaji nyama ya kuku na mazao mengine ya kuku kama Mayai na mbolea ya kinyesi cha kuku.
Mazao haya ya kuku ni frusa kwa... | (Not translated) | Hindura |