Makara iyo apo juu.imebeba ujumbe mzito sana kwa anae ona na kufahamu maana asa ya UZALENDO.kiukweli katika jamii yetu uzalendo haupo kwa vijana wa Tanzania kwa kizazi iki cha sasa,na hii utokana na vijana wenyewe kutojua uzalendo ninini??ninauwakika na ninacho kisema asilimia miya moja vijana wengi wa Tanzania atujui uzalendo ninini.maana anayefahamu maana ya uzalendo,anamipaka ndani yake atajua uzalendo nkwajili ya nchi tu na siyo na vilivyomo .kwaiyo kazi ya kwanza ya kufanya nikuamasisha... | (Bila tafsiri) | Hariri |