Envaya

/auvitatz/post/7: English: CMVa8h3yQtcFud21ayyEnQQe:content

Base (English) English
Makara iyo apo juu.imebeba ujumbe mzito sana kwa anae ona na kufahamu maana asa ya UZALENDO.kiukweli katika jamii yetu uzalendo haupo kwa vijana wa Tanzania kwa kizazi iki cha sasa,na hii utokana na vijana wenyewe kutojua uzalendo ninini??ninauwakika na ninacho kisema asilimia miya moja vijana wengi wa Tanzania atujui uzalendo ninini.maana anayefahamu maana ya uzalendo,anamipaka ndani yake atajua uzalendo nkwajili ya nchi tu na siyo na vilivyomo .kwaiyo kazi ya kwanza ya kufanya nikuamasisha saana na kufundisha faida za uzalendo na umuhimu wa mtu mmoja mmoja kuwa mzalendo na jamii kwa ujumla asante.
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register