Base (Swahili) |
English |
Historia kwa ufupi kuhusu Guluka Kwalala Youth Environment Group Guluka Kwalala Youth Environment Group ilianzishwa 22/Sept, 2003. na kupata usajili wake wa kudumu 06/01/2004. ikiwa na wanachama waanzilishi 19. Wanawake wakiwa 9 na wanaume wakiwa10. Kutoka mwaka 2003 hadi sasa ina jumla ya wanachama 33 na waajiliwa saba.
|
A brief history about Guluka Mwalala Youth Environment Group Guluka Mwalala Youth Environment Group founded 22/Sept, 2003. to get his permanent registration 01/06/2004. with 19 founding members. Women as men were 9 and A10. From 2003 until now has a total of 33 members with whom the seventh.
|