Base (Swahili) | English |
---|---|
Mwalimu Kondola wa shule ya msingi Nansio akiwa anatoa maelekezo kwa wanafunzi wake wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo na wasioona siku hiyo ambayo uongozi wa Mzeituni ulikwenda kuwakabidhi madawati .Tarehe 19/7/2011 |
Teacher Kondola of primary school at Nansio gives instructions to students with disabilities mtindio his brain and not see the day that the leadership of Olives was going to hand over the desks. Date 19/07/2011 |
Translation History
|