Envaya
/dhahabu/post/6714
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Dhahabu hongereni sana kwa kazi nzuri mnayoifanya. Kwakweli mna kila sababu ya kupongezwa na kuungwa mkono.
(Bila tafsiri)
Hariri
Baadhi ya Wajumbe wa kamati za Maendeleo za Kata Manispaa ya Kinondoni pamoja na wananchi wakiwa katika picha ya pamoja baada kufanya mdahalo uliojadili namna ya kuboresha elimu ya Msingi na Sekondari Mkoani Dar es salaam Machi 2010.
(Bila tafsiri)
Hariri
Naiona kazi ya mikono yenu DAG! Hakika inafurahisa sana.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image)
(image)
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri