Moja ya changamoto kubwa tuliyokutana nayo ni ya bibi huyu ambaye anawalea hawa wajukuu zake wakati yeye mwenyewe ni mlemavu wa macho. – tunauhitaji wa kusaidia japo alituomba lakini hatuna fedha – yeyote mwenye kuguswa na hili na kama una chochote tunaomba umsaidie. | (Bila tafsiri) | Hariri |