Base (Swahili) | English |
---|---|
1. Kuwaendeleza washairi kiutunzi na maslahi ya kazi zao. 2. Kukikuza, kuendeleza na kukitunza kiswahili ndani na nje ya Tanzania. 3. Kulinda na kutunza utamaduni wa mswahili, aidha mila na silka zetu. 4. Kuendesha na kuunga mkono kampeni zote za kitaifa na kimataifa. 5. Kampeni maalum za kulinda maadili ya mswahili, wanawake, watoto, haki za kibinaadam, na unyanyasaji wowote wa kijinsia. |
1. Upgrading kiutunzi poets and their work interests. 2. Kukikuza, develop and kukitunza Swahili inside and outside of Tanzania. 3. Protect and maintain the culture of the Swahili, and do not feature either our traditions. 4. Driving and supporting all campaigns nationally and internationally. 5. Special campaign to protect the values of the Swahili women, children, rights of kibinaadam, and any sexual abuse. |
Translation History
|