Kwa sasa Asasi inashughulika na utafiti wa wanafunzi wa Kike ambao wameacha shule kutoka na kukosekana kwa ada na wazazi wao kutokuwa na uwezo wa kuwasomesha. katika Wilaya.utafiti huo utafanyika katika Wilaya ya Bagamoyo kama eneo la utafiti wa majaribio. – kazi hiyo kwa sasa inafanywa kwa kujitolea bado haijapatikana ufadhili au muhisani wa kufadhili shughuli hiyo.Utafiti huo unatokana na kuwepo kwa idadi kubwa ya wasichana ambao walifaulu kujiunga na sekondari lakini... | Currently, research institutions dealing with the female students who have dropped out from the lack of fees and their parents not being able to manage them.the activity is now being done by volunteers. ORGANISATIONAL still has received no funding or a benefactor to fund activities.research is attributed to the presence of large numbers of girls who fail to pay school but ended up the way they would achieve their goals. – while the program progresses organization also... | Edit |