Envaya
/chavitakondoa/post/89572
: English
Base
English
Unaweza kujiunga ila unakuwa mwanachama wa kushirikisha tu na sio kiziwi origion
(Not translated)
Edit
Je, mimi ambaye si kiziwi naweza kujiunga na chama hiki?
(Not translated)
Edit
Jamii yetu ifahamu matumizi ya lugha ya Alama kuwe na uwiano wa mawasiliano kati yetu (viziwi na jamii nyingine). – Kutetea haki ya viziwi kwa vyombo ya usalama,mahakama na polisi ili kuwatambua jamii ya viziwi. – Kujenga ushirikiano na taasisi (asasi) mbalimbali ili kuwawezesha kulitambua kundi hili. – Kutoa mafunzo ya lugha ya Alama ili kutusaidia kutafsiri na kutupatia habari mbalimbali ili kuwa sawa na mabadiliko ya Dunia (Tabia...
Our society know the use of the language of color communication there should be a balance between us (deaf and other races). – Advocating for the rights of deaf security agencies, the judiciary and the police to identify the deaf community. – Build partnerships with institutions (institutions) to enable multi recognize this group. – Provide training in sign language to help us interpret and give different information to be...
Edit