Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
KUJIUNGA NA ABHASU Kwa mtu yeyote anayetaka kujiunga na shirika hili anakaribishwa kutuma maombi kwa mwenyekiti wa shirika ambaye atampatia fomu ya kujaza. Fomu hii italipiwa Tsh 1000/- [elfu moja tu]. Hakikisha umeisoma katiba na kuelewa madhumuni,malengo na faida ya uanachama kwanza. Nakala ya katiba imeeambatanishwa hapa chini. Wenu Katibu Mkuu ABHASU |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe