Envaya
/africanheritage/post/5262
: English
Base
English
Envaya pia inatoa pongezi kwa Dr Oswad Lyapa kwa kuteuliwa tunakutakia mafanikio zaidi na zaidi.
Envaya also offers congratulations to Dr Oswad Lyapa appointment we wish for more success.
Edit
Napenda kumpongeza Dr Oswad Lyapa kwa kuteuliwa kuwa mshauri wa maswala ya afya wa AHF,Tumaini langu tumepata mtu thabiti na mchapa kazi hongera kwa kuteuliwa.
I would like to congratulate Dr Oswad Lyapa for appointment as advisor to the health issues of AHF, my hope we get a steady job and congratulations for printing appointment.
Edit
UTEUZI WA MSHAURI WA MASWALA YA AFYA WA SHIRIKA. – Mkurugenzi wa shirika la AHF nchini Tanzania bwana Albert.T.Msafiri amemteua rasmi Dr Oswad Lyapa kuwa mshauri wa shirika hilo katika maswala ya afya, uteuzi huo umethibitishwa na Dr. Frank Mukiza ambae ni mkurugenzi wa shirika hilo nchini Uingereza. Pia Dr Oswad atakua na jukumu la kuongoza timu ya madaktari na wauguzi watakao jitolea kutoa huduma...
Appointment of Consultant HEALTH ISSUES OF THE CORPORATION. – Director of the AHF in Tanzania Albert.T.Msafiri master has appointed Dr Oswad Lyapa be formally advised of the agency in matters of health, the appointment was confirmed by Dr. Frank disgust, who is director of the agency in the UK. Also Dr Oswad will have the task of leading a team of doctors and nurses who will volunteer to provide health...
Edit