Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
mimi ni mkazi wa chanika vikongoro yote mliyoeleza hapo juu si ya kweli ,kwani kuna idadi kubwa ya vijana katika mtaa wetu lakini hakuna kitu kinachoendelea juu yao ,safari hii ni bora muwe wakweli hasa katika mtaa wetu wa vikongoro |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe