05/06/2010 – Wanachama walikutana kuangalia uwezekanowa kuanzisha mradi wa pamoja ili waweze kujikimu na ugumu wa maisha. – Kwani mpaka sasa tuna miradi ya mtu mmoja mmoja inayotuwezesha kujikimu na ugumu wa maisha.Kuna wanakikundi wanaofanya shughuli mbalimbali kama – 1:Ushonaji – 2:Mama lishe – 3:Uuuzaji wa mitumba,viatu na mapambo ya nyumbani – 4:Usukaji wa nywele – 5:Uuzaji wa... | 05/06/2010 – Members met to look at setting up a project with uwezekanowa order to survive the difficulties of life. – For until now we have the individual projects inayotuwezesha maisha.Kuna survive difficult group members who do various activities like – 1: tailoring – 2: Mama nutrition – 3: The seller of mitumba, shoes and home decoration – 4: The hair Usukaji ... | Edit |