Base (Swahili) | English |
---|---|
05/06/2010 Wanachama walikutana kuangalia uwezekanowa kuanzisha mradi wa pamoja ili waweze kujikimu na ugumu wa maisha. Kwani mpaka sasa tuna miradi ya mtu mmoja mmoja inayotuwezesha kujikimu na ugumu wa maisha.Kuna wanakikundi wanaofanya shughuli mbalimbali kama 1:Ushonaji 2:Mama lishe 3:Uuuzaji wa mitumba,viatu na mapambo ya nyumbani 4:Usukaji wa nywele 5:Uuzaji wa samaki wa kukaanga na mbogamboga |
05/06/2010 Members met to look at setting up a project with uwezekanowa order to survive the difficulties of life. For until now we have the individual projects inayotuwezesha maisha.Kuna survive difficult group members who do various activities like 1: tailoring 2: Mama nutrition 3: The seller of mitumba, shoes and home decoration 4: The hair Usukaji 5: The sale of fried fish and vegetables |
Translation History
|