Jumuiya imeshafanya miradi midogomidogo ya uendeshaji na utawala wa jumuiya yakifadhiliwa na: – 1 waziri wa nchi afisi ya rais,utumishi wa umma na utawala bora na mwakilishi wa jimbo la TUMBATU ambae pia ni mlezi wa jumuiya hiyo. – 2) the foundation for civil society ya Dar es salaam mafunzo undeshaji wa asasi za kiraia mda miezi mitatu tokea februari 2011 hadi aprill 2011 | Community micro projects has administered the operation and administration of community and yakifadhiliwa: – A minister of state for presidential office, public service and governance and representative of the state of Tumbatu who is also patron of the community. – 2) the Foundation for Civil Society of the Dar es salaam undeshaji training of civil society three months time from February 2011 until 2011 aprill | Edit |