Jumuiya ya sunrise development society (SUDESO) iliazishwa disemba 2008 na kupatiwa usajili na mrajisi wa serikali ya mapinduzi zanzibar tarehe 01-12-2009 nambari 776. – jumuiya inawanachama 30, 13 wanawake na 17 wanaume, sambamba na bodi ya wadhamini yenye jumla ya watu wa tano. – jumuiya imeshajitambulisha sehemu tofauti za serikali pamoja na wazee wa sehemu husika – acoount ya jumuiya 021212000171 BENK YA WATU WA ZANZIBAR, JINA... | (Bila tafsiri) | Hariri |