Base (Swahili) | English |
---|---|
kikundi cha upendo mausi,kina omba msaada wa kuweza kujiendeleza na shughuli ya kutengeneza mabatiki na kuweza kuyauza ndani na nje ya nchi na mwisho kuweza kujiajiri kupitia shughul ya kutengeneza mabatiki. |
fifth group of loving, has requested assistance to develop and manufacture Batik activities and to sell them domestically and abroad and finally to self-employment through shughul Batik making. |
Translation History
|