VICTORY YASHIRIKI MEI MOSI – Chuo Cha Victory & Faith Training Centre kimeshiriki katika maazimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mei mosi katika viwanja vya Jamuhuli Mkoani Morogoro. – (image) – Mkurugenzi wa chuo cha Victory akiwa na baadhi ya wanachuo wakifuatilia kwa makini maazimisho ya siku ya Mei mosi katika uwanja wa Jamuhuri Mkoani... | (Not translated) | Hindura |