tosa inafanya kazi katika shule za msingi kwa kushirikiana na waalimu na viongozi wa mitaa ili kupata habari sahihi kuhusu watoto wanaohitaji kufadhiliwa na shirika letu – tosa pia inafanya uchunguzi ili kujua wahitaji walio na hali ngumu zaidi na kuwapa kipaumbele.pia inafatilia afya za watoto hao kwa karibu na mahitaji ya chakula inapotokea uhitaji huu. – tosa inatajia kuwasiliana na RITA ili watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira hatarishi wasajiliwe... | ripening is working in primary schools in collaboration with teachers and local leaders to get accurate information about children who need sponsored by our organization – ripening also conducts investigations to determine the need and the situation more complicated and give kipaumbele.pia inafatilia health of children and needs to close the food in. This require. – ripening inatajia contact RITA to children orphaned and living in vulnerable wasajiliwe to be... | Edit |