LENGO KUU:kuwa na vijana wenye maisha bora,endelevu,wlioelimika na kujua wajibu wao katika jamii na taifa kwa ujumla. – MALENGO MAHUSUSI: – Kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo itakayomilikiwa na vijana
kupunguza/kuzuia mimba zisizotarajiwa,matumizi ya madawa ya kulevya na maambukizi ya ya vvu/ukimwi miongoni mwa vijana
Kufanya ushawishi na utetezi wa maendeleo ya vijana kutokana na sera ya taifa ya vijana
Kwa... | (Bila tafsiri) | Hariri |