| SHOP KATIKA UFUATILIAJI WA FEDHA ZA UMMA ZILIZOTENGWA KWAAJILI YA MAENDELEO YA SEKTA YA ELIMU – Asasi ya SHOP kwa sasa inatekeleza mradi wa kuimarisha uwajibikaji wa viongozi na wananchi ndani ya serikali za mitaa katika kata tatu za Mwakibete, Mwasanga na Tembela jiji la Mbeya. mradi huu umefadhiliwa na the Foundation For Civil Society. katika utekelezaji wa mradi huumpaka sasa... | (Not translated) | Edit |