Injira

/sirupha/home: Kinyarwanda: WIj85PGCvrIyYmJMpLLLGgp6:content

« Inyuma   ·   Ahakurikira »
Base (Igiswayire) Kinyarwanda

kuhamasisha upimaji wa virus vya ukimwi kwa jamii kwa hiyari

kutoa msaada kutegemeana na tuupatapo kutoka kwa wahisani kwenda kwa waishio na virus vya ukimwi.na kuhakikisha inawafikia walengwa kama ilivyopangwa.

kujengea uwezo kwa waliogundulika na virusi vya ukimwi kuishi kwa makundi yenye matumaini

kupigania na kutetea haki za watu wanaoishi na virusi vya ukimwi na watoto yatima watokanano na kufiwa na wazazi wao (mmoja au wote)

 

(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe