Taasisi ya St.Raymond Universal Institute Chimbuko lake ni huduma ya Glori care yenye makao yake mkoani Shinyanga Tanzania ambayo ilijihusisha na huduma za kijamii ikiwemo mafunzo ya jinsi ya kuendesha vituo vya malezi ya watoto wadogo{day care center}. – Kufuatana na kupanuka kwa huduma za taasisi ya Glori care Muhasisi mnamo mwaka mwaka 2007 alifungua tawi dogo chini ya Glori Care Mjini Muleba Mkoani Kagera. – Mnamo ... | (Not translated) | Hindura |