Kwa mara nyingine tena wakati tunapokaribia kuanza mwaka mpya wa fedha wa 2014 kulingana na kalenda ya TALISDA Foundation, Shirika hilo linatangaza nafasi za Kazi kama ifuatavyo: – 1. Afisa wa Ufuatiliaji na Tathimini (Monitoring and Evaluation Officer) nafasi moja – Sifa: Mwombaji awe na Elimu ya Shahada ya kwanza au zaidi katika kada ya takwimu,uchumi, mipango kazi au kada nyinginezo zinazofanana na hizo – Mwombaji awe na uzoefu usiopungua miaka miwili... | (Not translated) | Hindura |