Napenda kueleza machahche kuhusiana na Hali ilivyo kuhusu HIV/AIDS kwenye shule za Sekondari na Vyuo mbalimbali vya Ualimu hapa nchini Tanzania. – Nazungumzia jambo hili kwa sababu msisitizo kwa Vijana hawa upo kwenye Elimu ya Compyuta na Masomo ya Sayansi, lakini HIV/AIDS haihusishwi. Kutohusishwa inaonekana hawajengewi moyo wa Maisha ya Baadae,jambo ambalo mara wanapofuzu Taaluma yao wanaonekana tayari wana VVU lakini pia hawapendi kupangiwa kazi maeneo... | (Bila tafsiri) | Hariri |