Napenda kueleza machahche kuhusiana na Hali ilivyo kuhusu HIV/AIDS kwenye shule za Sekondari na Vyuo mbalimbali vya Ualimu hapa nchini Tanzania. – Nazungumzia jambo hili kwa sababu msisitizo kwa Vijana hawa upo kwenye Elimu ya Compyuta na Masomo ya Sayansi, lakini HIV/AIDS haihusishwi. Kutohusishwa inaonekana hawajengewi moyo wa Maisha ya Baadae,jambo ambalo mara wanapofuzu Taaluma yao wanaonekana tayari wana VVU lakini pia hawapendi kupangiwa kazi maeneo... | Let me explain machahche situation is related to the HIV / AIDS in secondary schools and various teacher training colleges in Tanzania. – I'm talking the matter because the emphasis for these youngsters is on education and computer science studies, but HIV / AIDS is not associated. Kutohusishwa seems not jengewi heart of the Future, which often have their Academic pofuzu seem already have HIV but do not want assigned the task areas in addition to... | Edit |