Tarehe 21 hadi 23 Nov.2011 Asasi ta TAKUUKI imepata nafasi kushiriki Tamasha la 9 la azaki bora Tanzania ambalo limefanyika Dar es Salaam katika Hoteli ya Blue Peal.Mwakilishi wa Azaki amejionea mwenyewe jinsi asasi mbalimbali walivyoweza kuonesha kazi zao ambazo wanahudumia jamii.Mwakilishi wa asasi hiyo ambaye ni Mkurugenzi wa TAKUUKI amefurahishwa sana kujionea machapisho na vitabu mbalimbali ambavyo vina Elimu Mzuri na aina mbalimbali ya ujumbe kwa jamii.Mfano... | (Not translated) | Hindura |